Google PlusRSS FeedEmail

CHADEMA YATABIRIWA KUINGIA UCHAGUZI MKUU 2015 IKIWA DHAIFU

MWENYEKITI WA CHADEMA
NA MWANDISHI WETU
SAFARI ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kuelekea katika uchaguzi mkuu wa 2015 imeelezwa kuwa ni yenye kutia shaka na kimetabiriwa kufika mwaka huo kikiwa dhaifu.
   Mwenendo wa matukio ambayo umma umeendelea kuyashuhudia ndani chama hicho wiki hii, msingi wake ukiwa ni kuvuliwa uongozi Zitto Kabwe na kuvuliwa uanachama kwa Dk. Kitila Mkumbo na Samson Mwigamba, ndiyo yaliyoibua hisia za namna hiyo miongoni mwa umma na jamii ya wasomi walioko ndani na nje ya chama hicho>>Soma Zaidi.

This entry was posted in

Leave a Reply