REGINALD MENGI AKUTNA NA KINANA LEO Posted on 28 Jan by Unknown KATIBU Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizungumza na Mwenyekiti wa Kampuni za IPP, Reginald Mengi (kushoto), Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam, leo.Picha na Bashir Nkoromo