Google PlusRSS FeedEmail

RAIS JAKAYA KIKWETE AWAAPISHA LEO MAWAZIRI WAPYA

Waziri Mpya wa Katiba na Sheria Dk. Asha-Rose Migiro akila kiapo mbele ya Rais Jakaya Kikwete
Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Mwigulu Nchemba, kuwa Naibu Waziri wa Fedha, katika hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu, jijini Dar es Salaam, leo. Picha na OMR


 Waziri mpya wa Fedha Bibi.Saada Mkuya akila kiapo
 Naibu Waziri mpya wa Elimu, Jenister Muhagama akila kiapo.

Naibu Waziri Mpya wa Habari, Utamaduni na Michezo Juma Nkamia akila kiapo. 

 Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Dkt. Pindi Chana, kuwa Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, katika hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu, jijini Dar es Salaam, leo. Picha na OMR
Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Adam Malima, kuwa Naibu Waziri wa Fedha, katika hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu, jijini Dar es Salaam, leo. Picha na OMR
Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Charles Kitwange, kuwa Naibu Waziri wa Nishati na Madini, katika hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu, jijini Dar es Salaam, leo. Picha na OMR
Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Amos Makala, kuwa Naibu Waziri wa Maji, katika hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu, jijini Dar es Salaam, leo. Picha na OMR
Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Mahmoud Mgimwa, kuwa Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, katika hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu, jijini Dar es Salaam, leo. Picha na OMR



 Wageni waalikwa

Wageni waalikwa
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimpongeza Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, akiwa na mkewe aliyewahi kuwa Miss Tanzania, Faraja Kotta na  familia yake, baada ya kuapishwa katika hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam, leo. Kulia kwa Makamu ni Naibu Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba.  Picha na OMR
Rais Kikwete akiwa na mawaziri wapya
  Rais Jakaya Kikwe akiwa katika picha ya pamoja na Baraza jipya la Mawaziri

This entry was posted in

Leave a Reply