Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na wakazi wa Igunga. |
Maelfu ya wakazi wa Igunga wakimsikiliza Rais Kikwete |
Rais Kikwete akikata utepe kama ishara ya uzinduzi wa ujenzi wa Daraja. |
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizindua mradi wa Chujio la maji safi kwa mji wa Igunga sehemu za Bulenya ambapo wakazi asilimia 70 wa mji huo watapata maji safi |
Waziri wa Ujenzi Dkt John Pombe Magufuli akijiunga na bendi ya Msondo Ngoma kutumbuiza wakati wa uzinduzi wa ujenzi wa daraja la Mbutu la Igunga |
Wananchi wakivuka katika sehemu itayojengwa darala la kisasa la Mbutu la Igunga ambao ujenzi wake umezinduliwa leo na Rais Jakaya Mrisho Kikwete, hatua ambayo itatatua kabisa tatizo la miundombinu. |
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na kutoa ushauri kwa kundi la vijana 10 ambao baada ya kumaliza chuo kikuu wamejikusanya na kuunda kikundi cha ujasiriamali mjini Igunga wakijishugulisha na Kilimo |
Rais Kikwete akiangalia michoro ya Daraja litakalojengwa. |
hongera jk na Serikali yako kazi inafanyika asiye na macho haambiwi tazama.