Google PlusRSS FeedEmail

AFRICA KUSINI KUWAENZI WAPIGANIA UHURU WAKE

 Makamu wa Rais Kgalema Montlanthe wa Afrika Kusini akihutubia wageni waalikwa kwenye ukumbi wa ndani wa Diamond Jubilee juu ya dhamira yao ya kuenzi wapigania uhuru wake kila mwaka kwa kupitia SOMAFCO TRUST.
Wageni waalikwa kutoka Vyuo Vikuu na Taasisi mbali mbali,wakiwemo pia kutoka Afrika Kusini na nchi marafiki wakisikiliza kwa makini hotuba ya makamu wa  Rais wa Afrika Kusini alipoutubia juu ya mikakati ya kuenzi wapigania uhuru,ambapo alisema Mzimbu na Dakawa kutajengwa kumbukumbu maalumu za kistoria kusaidia vizazi vijavyo kutambua wapigania uhuru wao.

This entry was posted in

One Response so far.

  1. CCM Blog says:

    South Africa ni marafiki wazuri.

Leave a Reply