Google PlusRSS FeedEmail

LINDI WACHUKUA TUZO KWA KUTEKELEZA VIZURI SHERIA YA MANUNUZI YA UMMA.

Ngao ya Ushindi ambayo Halmashauri ya wilaya ya Lindi Mjini.
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Lindi Hijob Shenkalwah, akionyesha kwa Ngao ya Ushindi wa Kwanza, Katika kutekeleza sheria ya Manunuzi ya Umma mwaka 2010/2011, iliyotolewa Baada ya Halmashauri hiyo kutangazwa na Kukabidhiwa na Waziri Mkuu katika Sherehe za kitaifa za siku ya Serikali za Mitaa.

This entry was posted in

Leave a Reply