Mtaa wa Mkunguni umebadilika kwa kasi sana,na haya ndio mabadiliko yanayodhihirisha kukua kwa mji na maendeleo kwa jumla. |
Mtaa wa Mkunguni jioni huwa busy sana na wafanyabiashara ndogo ndogo hutandaza biashara chini kujaribu kujipatia riziki kutoka kwa watu wanaorudi majumbani baada ya shughuli zao za kila siku. |