SINGIDA TANZANIA
Aliyeuawa jana na wafuasi wanaaminika kuwa ni wa Chadema, ametajwa kuwa ni Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Kata ya Ndago, Yohana Mpinga mwenye umri wa miaka 30. Imeelezwa kutoka mkoani Singida.
Kamanda wa Polisi mkoa wa Singida, Linus Vicent Sinzumwa amesema leo kwamba, Mpinga amefariki dunia baada ya kupigwa kwa fimbo na mawe, na baadhi ya wafuasi wa Chadema, Julai 14 mwaka huu, saa kumi alasiri katika kijiji cha Ndago.
Alisema siku hiyo Chadema walikuwa na kibali cha kufanya mkutano wa hadhara katika kijiji hicho cha Ndago na mgeni rasmi katika mkutano huo,alikuwa mbunge wa jimbo la Ubongo jijini Dar-es-salaam, John Myika.
Akifafanua,kamanda huyo, alisema mara baada ya Chadema kuanza mkutano huo,viongozi wake walianza kuporomosha kashifa dhidi ya mbunge wa jimbo la Iramba Mashariki, Mwigulu Nchemba ,kitendo kilichowaudhi baadhi watu waliokuwepo kwenye mkutano huo.
Sinzumwa, alisema watu hao ambao walichukizwa na kitendo cha kukashifiwa mbunge wao,walianza kupiga kelele kuwa hawataki mbunge wao akashifiwe na badala yake wanataka kusikia sera za Chadema tu lakini viongozi hao waliendelea tu kuporomosha kashifa dhidi ya Mwingullu na kusababisha kuanza kwa vurugu.
Alisema kuwa vurugu hizo zilihusisha kundi la wanachama wa Chadema na wa CCM na zilisambaa haraka.Wanachama hao walianza kurusha mawe ovyo na askari wachache wa polisi waliokuwepo,walizidiwa nguvu na makundi hayo.
Amesema, Mwenyekiti wa UVCCM Yohana,yeye baada ya kuona vurugu zinaendelea kukua, akikimbilia kwenye nyumba ya Mwalimu Shume Manase Mpinga ili kuokoa maisha yake hata hivyo, kundi la wana-Chadema wakiwa wamebeba fimbo na mawe,walimpiga sehemu mbalimbali za mwili wake na kusbabisha kifo chake papo hapo.
Alisema katika kundi hilo ambalo wamelikamata,watawahoji na wataobainika kuhusika,watafikishwa mahakamani wakati wo wote.
Aidha polisi wamefuta mikutano yote ya Chadema iliyokuwa iendelee katika kijiji cha Shelui na Kiomboi mjini jimbo la Iramba magharibi leo.
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
-
▼
2012
(476)
-
▼
July
(76)
- CCM yaishukia CHADEMA suala la TUHUMA za Rushwa kw...
- WANANCHI WAMEHIMIZWA KUTEMBELEA TOVUTI YA SEKRETAR...
- UJUMBE WA WANAFUNZI
- RAIS KIKWETE ASALIMIANA NA BIBI WA MIAKA 85 KIJIJI...
- BURGER YA KILIMANJARO NDANI YA SUMBAWANGA
- RAIS KIKWETE AWEKA JIWE LA MSINMGI UJENZI HANGA LA...
- JOHN KOMBA AREJEA BAADA YA KUFANYIWA UPASUAJI INDIAj
- SIKU YA MASHUJAA ILIVYOFANA
- KATA YA KWADELO, KONDOA WAZIDISHA UTEKELEZAJI KILI...
- KUKABIDHI NYARAKA ZA KIUTENDAJI, TAWI LA CCM MOSCOW
- MTAA WA MKUNGUNI
- RAIS WA GHANA AFARIKI DUNIA
- RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE AZINDUA MRADI WA MAJI M...
- MKUTANO WA CCM KIGOMA MJINI
- NAPE,MAWAZIRI WATUA KIGOMA, KUUNGURUMA UWANJA WA ...
- MAANDALIZI MKUTANO WA CCM KIGOMA YAIVA
- NAPE , MAWAZIRI KUHUTUBIA KESHO KIGOMA
- WILAYA YA NACHINGWEA YAGUSWA NA VIFO VYA WATANZANI...
- ZIARA YA NAPE KATAVI YAZAA MATUNDA, DC AWAFUKUZA W...
- MKUU WA WILAYA YA KILWA,MHE. ABDALLAH ULEGA AHIMIZ...
- TUME YA MABADILIKO YA KATIBA YASITISHA MIKUTANO YA...
- CCM YATOA POLE AJALI YA MELI ZANZIBAR
- Makamu wa Pili Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzi...
- Mtendaji Mkuu wa Pathfinder International atembele...
- ASKOFU AMTEMBELEA RAIS IKULU.
- Rais Jakaya Mrisho Kikwete apokea ujumbe maalum to...
- TAARIFA YA MHESHIMIWA DKT. JAKAYA MRISHO KIKWETE, ...
- MATUKIO YA AJALI YA MELI ILIYOZAMA KATIKA PICHA
- TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
- UJENZI WA BARA BARA YA IRINGA MAFINGA
- DARAJA LA KAINGESA
- TUNAYOYAKUMBUKA
- MUKAMA AKUTANA NA MWEKEZAJI KUTOKA NIGERIA
- VIONGOZI WA CHAMA NA SERIKALI WAHUTUBIA WANANCHI W...
- POLISI: ALIYEUAWA NA CHADEMA JANA NI MWENYEKITI WA...
- WANANCHI MKOANI RUKWA WAONGEA ANA KWA ANA NA VIONG...
- NAPE AZINDUA KITUO CHA UWEKEZAJI NA KITEGA UCHUMI ...
- UJENZI WA BARABARA YA TUNDUMA -SUMBAWANGA KWA KIWA...
- CHADEMA WAJISALIMISHA POLISI, KUHUSU TUHUMA ZA NJA...
- UTITIRI WA VYAMA VYA SIASA TANZANIA
- MAKAMU WA RAIS DKT BILAL AKUTANA NA UJUMBE KUTOKA ...
- AJALI ZA BODA BODA ZAZIDI KUONGEZEKA
- YALOJIRI NDANI YA GAZETI LA UHURU LEO
- KATIBU MKUU WA CCM, NDG W. MUKAMA AHUDHURIA MKUTAN...
- President Kikwete arrives in London for a ground b...
- MJI WAZIDI KUPENDEZA KWA MAJENGO YA MAPYA
- AFRICA KUSINI KUWAENZI WAPIGANIA UHURU WAKE
- KATIBU MKUU WA CCM, NDG. W. MUKAMA AKUTANA NA UJUM...
- MAMA MARIA APOKEA TUZO YA JUU YA HESHIMA ILIYOTOLE...
- MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL, AMPOKEA MAKAMU WA RAIS ...
- Dkt. Asha-Rose Migiro aelezea Matumizi ya Fursa, a...
- MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL MGENI RASMI TUNZO ZA WAS...
- Shirika la Maendeleo Bumbuli.
- TUME YA KATIBA YATOA UFAFANUZI WA USHIRIKI WA WANA...
- CHADEMA yapata Pigo Moshi mjini.
- Tume ya Katiba yandelea na Kazi Mkoa wa Pwani.
- CHADEMA yapata pigo Moshi mjini.
- MPAMBANO WA WABUNGE MASHABIKI WA SIMBA NA YANGA LEO
- MADAKTARI MGUU NDANI MGUU NJE
- ZIARA YA SHIGELA MKOANI MTWARA
- Warembo Mjini Kahama wajiunga na CCM.
- MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL, AMWAKILISHA RAIS JAKAYA...
- SEKTA YA SHERIA NCHINI YAFANIKIWA KUONGEZA UELEWA ...
- MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR AKABIDHI VIFAA ZAH...
- MKUU WA WILAYA YA NACHINGWEA,BI REGINA CHONJO AFAN...
- RAIS KIKWETE AENDESHA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI...
- MAMA MARIA NYERERE AKABIDHIWA FILAMU YA MWALIMU NY...
- LINDI WACHUKUA TUZO KWA KUTEKELEZA VIZURI SHERIA Y...
- TUME YA KURATIBU MAONI YA KATIBA YAENDELEA NA KAZI...
- VIONGOZI WA JUMUIYA ZA ELIMU YA JUU WAMTEMBELEA R...
- RAIS KIKWETE AREJEA TOKA RWANDA NA BURUNDI.
- KONGAMANO LA KATIBA KWA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU L...
- Mkuu wa Wilaya ya Kilwa Mhe. Abdallah Ulega awatak...
- WANAHARAKATI KUTOKA VYUO VYA ELIMU YAJUU WAPINGA M...
- KONGAMANO LA KATIBA KWA WANAFUNZI WA VYUO KIKUU LA...
- RAIS KIKWETE ATOA YA MOYONI KUHUSU MGOMO WA MADAKTARI
-
▼
July
(76)
LOVE LINKS
Powered by Blogger.