Google PlusRSS FeedEmail

SIKU YA MASHUJAA ILIVYOFANA

Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete leo Juli 25, 2012 ameongoza Watanzania katika kuadhimisha siku ya Mashujaa Kitaifa katika Bustani ya Mnazi Mmoja Dar es salaam.
Zifuatazo ni taswira ya hafla hiyo ya kila mwaka. Picha na Ikulu.
   
VIONGOZI MBALIMBALI WA MKOA WA LINDI WAKIWEMO WAKUU
WA WILAYA ZA MKOA WA LINDI WAKIWA KATIKA MNARA HUO IKIWA NI ISHARA YA
KUWAKUMBUKA

This entry was posted in

Leave a Reply