Mkuu wa wilaya ya Nachingwea Bi. Regina Chonjo akisikiliza jambo kwa makini katika kikao chake na Wazee wa wilaya hiyo. |
Wazee wa wilaya ya Nachingwea wakiwa katika Mkutano huo ambao uliitwa na Mkuu wa Wilaya huyo Mpya. |
Mkuu wa Wilaya ya Nachingwea Bi. Regina Chonjo akisalimiana na Muasisi wa TANU Bi.Kanduru alipomtembelea Bibi huyo katika Makazi yake ambayo alipata Ufadhili wa kujengewa nyumba Hiyo. |