Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza kikao cha Baraza la Mawaziri jana July 5, 2012 katika ukumbi wa TAMISEMI Dodoma.(PICHA NA IKULU). |
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea jambo na baadhi ya mawaziri na viongozi waandamizi serikalini baada ya kuongoza kikao cha Baraza la Mawaziri jana July 5, 2012 katika ukumbi wa TAMISEMI Dodoma. |