DARAJA LA KAINGESA Posted on by Unknown Daraja la Kaingesa likiwa kwenye hatua za kukamilika hapa Sumbawanga mkoani Rukwa,Daraja hili ni moja ya madaraja kadhaa yanayojengwa kwenye barabara kuu ya kutoka Tunduma kwenda Sumbawanga.