|
Vijana wa Elimu ya juu wakifuatilia kwa makini maoni ya mada mbali mbali kwenye Kongamano la Katiba. |
|
Dk.Harrison Mwakyembe Waziri wa Uchukuzi wakifungua Kongamano la Katiba leo Karimjee Hall. |
|
Viongozi mbali mbali wa vyuo vya elimu ya juu wakifuatilia kwa makini hoja mbali mbali. |
|
Ndugu Christopher Ngubiagayi akitoa yale muhimu kuhusu uelewa wa Katiba katika Kongamano la Katiba lililofanyika leo Karimjee Hall. |
|
Assenga Abubakar,Mwenyekiti wa Shirikisho la wanafunzi wa elimu ya juu akifuatilia kwa makini mada muhimu katika Kongamano la Katiba. |
Umoja wa Wanafunzi wa elimu ya juu Tanzania (TAHLISO) leo umeratibu kongamano la Katiba katika ukumbi wa Karimjee,na kuhudhuliwa na wanafunzi kutoka vyuo mbalimbali, Mgeni wa heshima katika kongamano hilo ni DK. Harrison Mwakyembe Waziri wa Uchukuzi.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI