Google PlusRSS FeedEmail

Makamu wa Pili Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Atembelea eneo la kuhifadhia miili ya watu waliofariki kwenye Ajali ya Meli ya MV. SKAGIT Balozi Seif Idd

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif  Ali Iddi, akizungumza na Daktari bingwa wa kufanya uchunguzi wa maiti wa ajali kupitia uchunguzi wa kuchukua vinasaba DNA, Dk. Ahmed Makata, alipotembelea eneo maalum la kuwekea maiti wa ajali ya Boti katika viwanja vya Maisara. Unguja Zanzibar.

This entry was posted in

Leave a Reply