Said Nzori kutoka ofisi ya Mwanasheria Mkuu Bara (TUME) akisisitiza jambo juu ya umuhimu wa kusoma na kujua sheria.
 |
Wanafunzi kutoka vyuo vya elimu ya juu wakifuatilia kwa makini uchambuzi wa mada mbali mbali juu ya katiba. |
Hassan A. Haji kutoka ofisi ya mwanasheria mkuu ZNZ (TUME) akizungumzia taratibu na jinsi tume ilivyojipanga kupokea maoni.
 |
Naibu Katibu wa Tume ya mabadiliko ya katiba Nd.Casmir S. Kyuki akifafanua masuala ya msingi juu ya mabadiliko ya Katiba. |
 |
Dk.Harrison Mwakyembe Mwenyekiti wa Kongamano hilo akimkaribisha Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Mh.Joseph Sinde Warioba |
 |
Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba akifunga Kongamano la Katiba. |