Google PlusRSS FeedEmail

TUME YA KURATIBU MAONI YA KATIBA YAENDELEA NA KAZI MKOA WA KUSINI UNGUJA.

Mwananchi wa Kijiji cha Muyuni Mwanapili Haji Mussa akipeleka maoni yake kwa njia ya Barua yanayohusu uundwaji wa katiba Mpya kwa wajumbe wa Ukusanyaji maoni hayo huko Muyuni Mkoa wa Kusini Unguja.

Mwenyekiti (M) wa Ukusanyaji maoni ya Katiba Mpya Mohd Yussuf Mshamba akifahamisha namna ya utoaji wa maoni unavyotakiwa huko katika kijiji cha Muyuni Mkoa wa Kusini Unguja.


Wananchi mbalimbali waliohudhuria katika utoaji wa Maoni huko katika Kijiji cha Muyuni Mkoa wa Kusini Unguja.

This entry was posted in

Leave a Reply