Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye na ujumbe wake wakiwasili Uwanja wa Ndege wa Kipamba mkoani Kigoma. Kushoto mwisho ni Waziri Steven Wasira. |
Mbunge wa Kigoma mjini Peter Serukamba akisalimiana na wananchi baada ya kuwasili na Nape kwenye Uwanja wa Ndege wa Kipamba mkoani humo leo |
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi CCM, Nape Nnauye akishiriki na vijana kucheza ngoma ya Kasimbo ya mkoa wa Kigoma, baada ya kuwasili Uwanja wa Kipampa mkoani humo, leo |