Google PlusRSS FeedEmail

NAPE AZINDUA KITUO CHA UWEKEZAJI NA KITEGA UCHUMI CHA CCM, SUMBAWANGA MJINI.

Katibu wa itikadi na uenezi Taifa, Ndugu Nape Moses Nnauye akihutubia wananchi waliojitokeza katika Ufunguzi wa Kitega Uchumi cha Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika manispaa ya Sumbawanga leo 14 july 2012. Kitega uchumi hiko kinajumuisha milango ya maduka 37 na kituo cha mafuta ''petrol station'' ambako kipo maeneo ya sabasaba katika manispaa hiyo, Nape atakuwepo Mkoani Rukwa kwa siku mbili kwa Ziara ya Kuimarisha Chama. 

Katibu wa Halmshauri kuu (NEC)  Ndugu Nape Nnauye akifungua kitega Uchumi Cha Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Manispaa ya Sumbawanga, Mkoani Rukwa.

This entry was posted in

One Response so far.

  1. KIYUNGI says:

    Hapa zoezi la kufanya mabadiliko litakuwa endelevu,,maana chama kitakuwa na miradi yake so hakitategemea watu binafsi.

Leave a Reply