UJENZI WA BARABARA YA TUNDUMA -SUMBAWANGA KWA KIWANGO CHA LAMI WAENDELEA KWA KASI Posted on by Unknown Daraja la LAELA likisukwa kwa ustadi wa hali ya juu.Daraja la MPUI likiwa kwenye hatua za mwishoSehemu ya Barabara inayounganisha Tunduma na Sumbawanga ikiwa kwenye kiwango cha lami.