Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akipongezwa na aliyekuwa Msimamizi wa Uchaguzi wa Mwenyekiti wa CCM Taifa na Makamu wenyeviti wawili, Spika wa Bunge Anna Makinda, baada ya kumtangaza kushinda nafasi hiyo ya Uenyekiti, katika uchaguzi uliofanyika hivi punde katika ukumbi wa Kizota, Dodoma, ikiwa ni kuhitimisha shughuli za Mkutano Mkuu wa Nane wa CCM. Wapili Kulia ni Makamu Mwenyekiti Mpya wa CCM (Zanzibar) Dk. Ali Mohamed Shein na Makamu wa Rais Dk. Moahamed Gharib Bilal
Mwenyekiti wa CCM, Taifa, Jakaya Kikwete na Makamu wake wawili Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein (Zanzibar) na Philip Mangula (Bara) wakiwa meza kuu baada ya kutangazwa kushika nyandhifa zao.
Wajumbe wakiserebuka baada ya Rais Jakaya Kikwete kutangazwa kuwa mshindi wa Uenyekiti wa CCM, Taifa.
Mwenyekiti wa CCM, Jakaya Kikwete akiongoza kikao baada ya kushinda tena kiti hicho. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa CCM (Zanzibar), Dk. Ali Mohamed Sheni na Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Phili Mangula.PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
-
▼
2012
(476)
-
▼
November
(74)
- UWEZO WA MANGULA WASABABISHA KIWEWE CHADEMA
- RAIS KIKWETE AKUTANA NA MWENYEKITI WA KANU GIDEON ...
- HOJA MTAMBUKA:KINANA, KILA LINALOIJENGA CCM KWA WA...
- MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AAGANA NA RAIS WA KENYA ...
- YANAYOJIRI KATIKA ULIMWENGU WA HABARI
- VIONGOZI WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI WAZINDUA B...
- NAPE AONGOZA MAELFU MAZISHI YA SHARO MILIONEA, MUH...
- MAKAMU WA RAIS DKT BILAL AFUNGUA OFISI YA CCM MAKA...
- MAKAMU WA RAIS DKT BILAL AMJULIA HALI SHEIKH MKUU ...
- NAPE AIWAKILISHA CCM MAZISHI YA MSANII WA BONGO MO...
- MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AZINDUA MRADI WA UIMARIS...
- VIONGOZI WA CHADEMA MBARONI KWA WIZI WA MILIONI 16...
- PICHA ZAIDI ZA ZIARA YA KATIBU MKUU ARUSHA
- MATUKIO KATIKA PICHA ZIARA YA KINANA ARUSHA
- CCM YAFUNIKA ARUSHA, MAELFU WAFURIKA SHEIKH AMRI ...
- KINANA AKIHUTUBIA MAELFU YA WATU GEITA
- ZIARA YA KINANA GEITA
- NAPE: WALIOIBA FEDHA KATORO WAFIKISHWE MAHAKAMANI
- MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA BALOZI WA KOR...
- ZIARA YA KINANA SUMBAWANGA, AHUDHURIAA KIKAO CHA S...
- KINANA ATUA TABORA, AKUTANA NA VIONGOZI WA CHAMA N...
- VINARA WA MAKUNDI KUTEMWA URAIS
- MAELFU WAHUDHURIA MKUTANO WA KINANA MJINI MTWARA
- ZIARA YA KINANA MTWARA YAFANA
- SEKRETARIETI MPYA KUSUKUMA UTEKELEZAJI WA ILANI YA...
- NIDHAMU NI NGUZO MUHIMU KWA WATUMISHI WA CHAMA
- KUTANA NA PAKA WA ZANZIBAR
- HAKI ZA VIUMBE KAMA KUKU HAWA KWA NINI HAZILINDWI?
- PONGEZI NA MAONI YA KADA WA CCM DK. NTUYABALIWE
- WATUMISHI WA OFISI NDOGO WAKARIBISHA VIONGOZI WA S...
- MKUTANO WA MAPOKEZI YA MWENYEKITI NA SEKRETARIETI ...
- SHEREHE ZA KUPONGEZA SAFU MPYA YA UONGOZI WA CCM T...
- DK. SHEIN AKIHUTUBIA KIBANDAMAITI, ZANZIBAR
- KINANA ATUA ZANZIBAR KWA AJILI YA SHEREHE ZA KUPON...
- SHEREHE KUBWA ZA KUPONGEZA UONGOZI MPYA WA CCM KUR...
- MAPOKEZI YA MAKAMU MWENYEKITI WA CCM NA NAIBU KATI...
- KINANA ARIPOTI RASMI OFISI ZA CCM LUMUMBA, DAR
- ASKOFU KILAINI ALIKANA MWANANCHI
- RAIS KIKWETE ATANGAZA SEKRETARIETI MPYA YA CCM
- HALMASHAURI KUU YA TAIFA YAFANYA UCHAGUZI WA WAJUM...
- KIKWETE MWENYEKITI TENA CCM, MANGULA, DK, SHEIN MA...
- RAIS JAKAYA KIKWETE ACHAGULIWA KUWA MWENYEKITI WA CCM
- MATOKEO YA NAFASI YA UMAKAMU MWENYEKITI BARA NA VI...
- RAIS KIKWETE ALIPOTEMBELEA BANDA LA GAZETI LA UHURU
- UCHAGUZI KUMPATA MWENYEKITI MPYA WA CCM TAIFA NA M...
- KIZOTA NI KILA KITU
- KIKWETE AJIUZULU UENYEKITI SAA 9;15 ALASIRI, KUPIS...
- 'LIVE' KUTOKA MKUTANO MKUU WA CCM, KIZOTA, DODOMA,...
- MANGULA MGOMBEA UMAKAMU MWENYEKITI WA CCM- BARA, LEO
- KUMEKUCHA CCM, KILELE CHA MKUTANO MKUU WA NANE LEO
- UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA KUJENGWA SERENGETI
- SIKU YA PILI YA MKUTANO MKUU WA CCM
- UCHAGUZI WA MWENYEKITI NA MAKAMU KUFANYIKA KESHO
- SIASA SAFI NI MATUNDA YA UKOMAVU WA SIASA BORA
- MATUKIO YA MKUTANO MKUU WA NANE WA CCM KATIKA PICHA
- WAGOMBEA WAJINADI UCHAGUZI WAANZA NDANI YA UKUMBI ...
- WAALIKWA KUTOKA VYAMA VYA SIASA NA WAGENI KUTOKA ...
- MKUTANO MKUU WA CCM 2012 KATIKA PICHA
- RAIS JAKAYA KIKWETE AWEKA JIWE LA MSINGI LA UJENZI...
- BAADHI YA PICHA ZA MICHORO YA MAKAO MAKUU YA CHAMA
- MANGULA MGOMBEA WA NAFASI YA MAKAMU MWENYEKITI CCM...
- MATUKIO MBALI MBALI KATIKA PICHA - KIKAO CHA NEC
- RAIS JAKAYA KIKWETE AFUNGUA RASMI KIKAO CHA KAMATI...
- MKUTANO MKUU WA CCM DODOMA 2012
- RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE AWASILI DODOMA LEO
- CCM....MAENDELEO YA NCHI NDIO NGUZO PEKEE
- RAIS KIKWETE AZINDUA UJENZI WA BOMBA LA GESI ASILI...
- BARABARA ZA MITAA YA DODOMA MJINI ZATENGENEZWA KWA...
- MWENYEKITI WA CCM RAIS KIKWETE AKAGUA KIWANJA CHA ...
- TAMKO LA CHAMA JUU YA KUMWAGIWA TINDIKALI KATIBU W...
- TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
- BARABARA ZA KIWANGO CHA LAMI ZAZIDI KUUNGANISHA WA...
- MATUKIO KATIKA PICHA ZA RAIS JAKAYA KIKWETE ALIVY...
- RAIS KIKWETE AZINDUA UJENZI WA BARABARA YA KWA SAD...
-
▼
November
(74)
LOVE LINKS
Powered by Blogger.
uteuzi wa mh philip mangula pamoja na sekretarieti mpya ya ccm ikiongozwa na mh kinana imefufua matumaini mapya kwa chama changu!binafsi nilikata tamaa sana!!!!!!!!!!!!!
dr macheku godwin,kcmc,moshi!