Google PlusRSS FeedEmail

SIASA SAFI NI MATUNDA YA UKOMAVU WA SIASA BORA

John Magale Shibuda akimsikiliza kwa makini Katibu wa NEC ,Itikadi na Uenezi,Nape Nnauye ndani ya ukumbi wa Kizota,kwenye mkutano mkuu wa nane wa Chama Cha Mapinduzi


Kapteni John Chiligati akibadilishana mawazo na John Magale Shibuda kwenye ukumbi wa Kizota, ambapo mkutano mkuu wa nane wa CCM unafanyika.

This entry was posted in

One Response so far.

  1. kunatofauti kati ya mwanasiasa na mwanaharakati mhe. Shibuda na mwanasiasa.

Leave a Reply