Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimtuza msanii, Kasim Magembe, baada ya kuridhishwa na uhodari wake alipotumbuiza kwenye mkutano wa CCM uliofanyika uwanja wa Mpira, Geita leo |
Nape Nnauye ,Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi akisalimiana na Machinga wa Katoro Geita |
Hiyo ndo CCM tunayoitaka.Wapinzani watasubiri sana