BIASHARA YA MAGAZETI KWENYE MKUTANO WA NEC YA CCM DODOMA
Laurent Japhet akitafuta wateja wa magazeti mbalimbali nje ya ukumbi wa Junego la White House, Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma leo, wakati mkutano wa NEC ukiendelea kwenye ukumbi wa jengo hilo. (PICHA NA BASHIR NKOROMO)