Katibu Mkuu wa CCM Taifa,Ndugu Abdulrahaman Kinana akisalimiana na Balozi wa Korea Kusini ,II Chung ,kwenye Makao Makuu ya Chama ,Ofisi ndogo Lumumba. |
Katibu Mkuu wa CCM Taifa,Ndugu Abdulrahaman Kinana akiwa na Balozi wa Msumbiji Dk.Vicente Mebunia . |
Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahaman Kinana akimkaribisha Balozi wa Palestina Dk. Nasria Abu Jaish |
Katibu Mkuu wa CCM, Ndugu Abdulrahaman Kinana, Dk. Asha-Rose Migiro wakizungumza na Balozi wa Afrika Kusini Mhe. T.H. Chiliza,leo katika ofisi ndogo za chama ,Lumumba. |