Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akisalimiana na Muasisi wa Chama, Mohammed Matipa alipowasili Ofisi ya CCM, Tawi la Tulieni Kata ya Jamhuri Lindi mjini, leo Feb. 19, 2013.
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Mama Salma Kikwete akiimba wimbo wa 'Wanawake na Maendeleo', kabla ya kuhutubia mkutano wa hadhara katika kijiji cha Tulieni, Kata ya Jamhuri Lindi mjini, leo Feb 19, 2013.
Wakereketwa wa CCM Mwajabu Abdulrahman (kulia) na Saida Mtopa, wakishangilia wakati Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Mke wa Rais Mama Salma Kikwete alipokuwa akihutyubia mkutano wa hadhara katika kijiji cha Tulieni, Kata ya Jamhiri, Lindi mjini leo, Feb 19, 2013.
Wanachama wapya wa CCM wakila kiapo baada ya kukabishiwa kadi zao na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Mama Salma Kikwete, katika mkutano wa hadhara uliofanyika leo Feb 19, 2013, kwenye Kijiji cha Tulieni Kata ya Jamhuri Lindi mjini.
Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM, Kata ya Jamhuri Lindi mjini, wakimsikiliza Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Mke wa Rais, Mama Salma Kikwete (hayupo pichani), alipozungumza nao katika kikao cha ndani, kwenye Ofisi ya CCM, tawi la Tulieni katika Kata hiyo leo, Feb 19, 2013.
Bi, Fatuma Jaluo (78) akifuatilia kwa makini msafara wa Mke wa Rais Mama Salma Kikwete ulipopita karibu na nyumbani kwake, katika kijiji cha Tulieni, Kata ya Jamhuri wilaya ya Lindi mjini leo, Feb 19, 2013.
Kina Mama wa CCM, wakishiriki kula kiapo cha mwanachama wa CCM wakati wanachama wapya waliokabishiwa kadi na Mama Salma Kikwete walipokuwa wakipa, kwenye mkutano uliofanyika kijiji cha Tulieni, kata ya Jamhuri wilaya ya Lindi mjini, leo Feb 19, 2013. Kutoka Kushoto ni Fatuma Mohamed, Aswila Ditopile na Zitta Maliyaga ambaye ni Mwenyekiti wa UWT mkoa wa Lindi.
Vijana 36 waliokuwa wanachama wa CUF na kuamua kuhamia CCM, wakimsiliza mke wa Rais Mama Salma Kikwete akipohutubia mkutano wa hadhara jana, Feb 19, 2013, kwenye Kijiji cha Mitandi, Kata ya Mbanja, Lindi mjini.
Baadhi ya waandishi wa habari, waliopo kwenye ziara ya Mama Salma Kikwete mkoani Lindi, wakiwa wameketi kwenye mkeka wakati wa mkutano uliofanyika kijiji cha Tulieni, Kata ya Jamhuri Lindi mjini leo Feb 19, 2013. Kushoto ni Mwenyeji wa kijiji hicho, Khalfan Dimoso. (Picha zote na Bashir Nkoromo).
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
-
▼
2013
(633)
-
▼
February
(55)
- SADIFA AONGOZA MASHAMBULIZI YA UVCCM MKOANI MOROGORO
- TAARIFA YA MKUTANO MKUU WA WADAU WA PSPF KUFANYIKA...
- WAZIRI MKUU AZINDUA MPANGO MKAKATI WA GS1 TANZANIA
- OFISA TABIBU WA BUNDA MATATANI KWA KUMTOA MIMBA MH...
- MeTL GROUP YAPOKEA TUZO
- SERIKALI YATAKIWA KUTILIA MKAZO MCHEZO WA KUOGELEA
- NAIBU WAZIRI WA FEDHA AKAGUA VITEGAUCHUMI VYA VYA ...
- WADAU WA PSPF WAONESHWA NYUMBA ZA MKOPO ZILIZOPO B...
- SHINA LA PAMBA ROAD LAFANYA UCHAGUZI.
- MJUMBE WA NEC, MAMA SALMA KIKWETE AMALIZA ZIARA LI...
- RAIS WA KENYA AZINDUA BARABARA YA MWAI KIBAKI JIJI...
- KINANA AKUTANA NA MABALOZI LEO
- MJUMBE WA NEC, MAMA SALMA KIKWETE AMALIZA ZIARA LI...
- NAPE ASEMA NA WANACCM WA TAWI LA OFISI NDOGO DAR !!
- ZAIARA YA MAMA JK LINDI YAZIDI KUNOGA, LEO YUPO KA...
- MAMA SALMA KIKWETE LEO YUPO KATA YA MBANJE
- KIKAO CHA BARAZA KUU LA UVCCM TAIFA CHAMALIZIKA, W...
- NAPE AITEKA GOBA LEO
- SEMINA YA HALI YA ELIMU NA AJIRA KWA WAJUMBE WA BA...
- MATUKIO-KIKAO CHA BARAZA KUU LA UVCCM TAIFA.
- ZIARA YA MAMA SALMA KIKWETE LINDI YAZOA WANACHAMA...
- NAPE : CHADEMA ACHENI KULIALIA.
- NAPE; BUNGE KURUSHWA LIVE KUTAIMALIZA CHADEMA
- UN: MAZUNGUMZO DAWA YA MIGOGORO YA KIDINI
- KIKAO CHA BARAZA KUU LA UVCCM TAIFA, DODOMA
- ZIARA YA MAMA SALMA LINDI, AFANYA MIKUTANO KIBAO Y...
- FAMILIA YAMKANA ANAYEJIITA MAKONGORO NYERERE
- ZIARA YA MAMA SALMA KIKWETE LINDI MJINI LEO
- MAMA SALMA KIKWETE AMFARIJI WAZIRI HAWA GHASIA KWA...
- TAMKO LA HALMASHAURI KUU YA TAIFA YA CCM KUHUSU MA...
- VICHWA VYA HABARI KAMA HIKI KWENYE MAGAZETI VINASA...
- JULIANA SHONZA NA MTELA MWAMPAMBA WAJIUNGA NA CCM ...
- ZOEZI LA UPIGAJI KURA LILIVYOENDESHWA PICHANI
- TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
- BIASHARA YA MAGAZETI KWENYE MKUTANO WA NEC YA CCM ...
- SEMINA YA MIKAKATI YA KUONDOA TATIZO LA AJIRA NCHINI
- RAIS JAKAYA KIKWETE AONGOZA SEMINA YA WAJUMBE WA N...
- RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE AWASILI DODOMA JIONI HII
- TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
- MAKAMU WA RAIS DKT BILAL ALIPOKUTANA NA SENETA STI...
- MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL KATIKA PICHA ZA MATUKIO ...
- RAIS KIKWETE ASHIRIKI KATIKA MAADHIMISHO YA SIKU Y...
- UKEKETAJI NI UKATILI:WIZARA
- MAADHISHO YA MIAKA 36 YA CCM MKOANI LINDI
- POLISI ANAPOSHIRIKI KUVUNJA SHERIA ZA USALAMA BARA...
- WAJAWAZITO WILAYANI KILWA WAPATA VITANDA VYA UZAZI.
- RAIS KIKWETE AKAGUA UJENZI DARAJA LA KIKWETE,KIGOMA
- SHEREHE ZA MIAKA 36 YA CCM ZAFANA KIGOMA, MAELFU W...
- MWENYEKITI WA CCM RAIS KIKWETE AONGOZA MATEMBEZI Y...
- RAIS KIKWETE APATA MAPOKEZI MAKUBWA KIGOMA
- KATIBU MKUU WA CHAMA CHA PPRD AWASILI KIGOMA LEO.
- KINANA AFUNGA KAZI KIBONDO KWA MKUTANO MKUBWA WA H...
- MAKAMU MWENYEKITI WA CCM BARA AWASILI KIGOMA LEO.
- MATUKIO MBALI MBALI YA ZIARA YA DK.MIGIRO ,KATIKA ...
- KINANA ASHIRIKI KAZI ZA JAMII KIBONDO
-
▼
February
(55)
LOVE LINKS
Powered by Blogger.