Google PlusRSS FeedEmail

RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE AWASILI DODOMA JIONI HII

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiteremka kwenye ndege leo jioni ,tarehe 9/2/2013 tayari kwa mkutano wa Halmashauri  Kuu ya Taifa utakaofanyika mkoani Dodoma kuanzia tarehe 10 mpaka tarehe 11/2/2013.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipita mbele ya chipukizi wa Chama Cha Mapinduzi huku akiongozana na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dodoma,Adam Kimbisa  mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma leo ,tarehe 9/2/2013.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete ambaye pia ndio Mwenyekiti wa  Chama cha Mapinduzi akiangalia ngoma ya asili ya Dodoma mara baada ya kupata mapokezi makubwa kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma leo jioni, Mheshimiwa Rais amewasili kwa ajili ya shughuli za kuongoza Mkutano wa Halmashauri kuu ya CCM  Taifa, utakaoanza tarehe 10 mpaka 11/2/2013 mjini Dodoma.

This entry was posted in

Leave a Reply