Katibu Mkuu wa Chama Cha PPRD ,Evarist Bushabe ( Kulia) akisalimiana na Katibu Mwenezi wa Chama chake Emmanuel Embaswa mara baada ya kuwasili kwenye kiwanja cha ndege cha Kigoma. |
Katibu Mkuu wa PPRD akipokelewa kwa furaha leo Kigoma, amekuja kushiriki sherehe za miaka 36 ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) |
Wakina mama kutoka Congo DRC wakiwa kwenye picha ya pamoja baada ya kumpokea kiongozi wa chama chao PPRD,Kigoma leo. |
Ankal Muhidin Issa Michuzi akiwasili kwenye Uwanja wa ndege wa Kigoma leo tayari kwa kushuhudia miaka 36 ya kuzaliwa kwa CCM. |