Vijana wakila kiapo baada ya kukabishiwa kadi zao za UVCCM na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa, Mama Salma Kikwete kwenye mkutano uliofanyika Kata ya Waile Lindi mjini.
Mzee Ismail Bakari (80) maarufu kwa jina la Kulombandila akimuuliza swali mama Salma Kikwete kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye Ofisi ya CCM, wilaya ya Lindi mjini leo.Kina mama wa Kata ya Mikumbi Lindi wakimpa zawadi ya mkeka Mama Salma Kikwete kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika leo kwenye kata hiyo.
Wananchi wakiwa kwenye Mkutano wa Kata ya Kikumbi
Hashim Masoud kutoka CUF akikabishi kadi yake kwa Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Mke wa Rais Mama Salma Kikwete baada ya kaumua kujiunga na CCM kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika kata ya Mikumbi, leo. Wanachama 25 wakiwemo watano kutoka CUF walijiunga CCM