Katibu wa NEC,Uchumi na Fedha ,Zakia Meghji,akibadilisha mawazo na Katibu wa NEC,Itikadi na Uenezi pamoja na Katibu Mkuu Ndugu Abdurahaman Kinana leo, Dodoma . |
Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Ndugu Mwigulu Nchemba akijadiliana jambo na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Dk.Shukuru Kawambwa wakati wa semina juu ya kuondoa tatizo la ajira nchi. |
Wajumbe wakiwa kwenye semina ya Mikakati ya Kuondoa tatizo la ajira nchini. |
Ally A. Msaki akitoa mada juu ya HALI YA AJIRA NCHINI NA MIKAKTI YA SERIKALI kwa niaba ya Waziri wa Kazi na Ajira,kwa wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, inayofanyika Dodoma leo. |
Baadhi ya wajumbe wakifuatilia kwa makini semina juu ya Mikakati ya kuondoa tatizo la Ajira Nchini |