Juliana Shonza akijitambulisha kwa wana CCM leo tarehe 12/2/2013, katika Makao Makuu ya CCM,mjini Dodoma |
Mtela Mwampamba akijitambulisha kwa wana CCM,wakati wa sherehe za utambulisho wa wajumbe wa kamati kuu ya CCM. |
Mwenyekiti wa CCM-Taifa,Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wananchi wa Dodoma wakati wa sherehe za kuipongeza Kamati Kuu iliyochaguliwa jana mjini Dodoma. |