Wajumbe wa NEC wakiwa tayari kwa zoezi la kupiga kura |
Maafisa wa chama wakiwa katika usimamizi wa shughuli nzima ya kupiga kura. |
Makatibu wa NEC,Kutoka kushoto Zakia Meghji, Dk. Asha-Rose Migiro na Mohamed Seif Khatib |
Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bilal akipiga kura kuchagua wajumbe wa Kamati Kuu ya CCM |
Makamu wa pili wa Rais,Zanzibar ,Balozi Seif Idd na Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Mwigulu Lameck Nchemba wakipiga kura za wajumbe wa kamati kuu ya CCM,Taifa. |