Google PlusRSS FeedEmail

MAMA SALMA KIKWETE LEO YUPO KATA YA MBANJE

 Katibu wa CCM Kata ya Mbaje, Hamisi Limoja akiwatambulisha wajumbe kwa Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, wilaya ya Lindi mjini, Mke wa Rais Mama Salma Kikwete alipowasili Kijiji cha Kikwetu katika kata hyo asubuhi hii, leo
Wajumbe wa Mkutano Mkuu Kata ya Mbaje, wakiwa kwenye mkutano wa ndani na Mama Salma Kikwete katika kijiji cha Kikwetu kata ta Mbanje. (Picha na Bashir Nkoromo)

This entry was posted in

Leave a Reply