Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimwapisha Inspekta Generali mpya wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP) Ernest Mangu katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es salaam, leo jioni
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpatia nyenzo za kazi Naibu Inspekta Generali wa Polisi (IGP) Abdulrahman Kaniki baada ya kumwapisha katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es salaam, leo jioni
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilali na Katibu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue katika picha ya pamoja na Inspekta Generali mpya wa Polisi (IGP) Ernest Mangu na Naibu IGP Abdulrahman Kaniki katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es salaam leo jioni
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Makamu wa Rais Dk. Mohamed Ghalib Bilali, Mawaziri na Katibu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue katika picha ya pamoja na Inspekta Generali mpya wa Polisi (IGP) Ernest Mangu na Naibu IGP Abdulrahman Kaniki katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es salaam leo jioni.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na IGP mpya Ernest Mangu, Naibu Inspekta Generali wa Polisi (IGP) Abdulrahman Kaniki pamoja na IGP mstaafu Saidi Mwema, katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es salaam, leo jioni.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na IGP mpya Ernest Mangu, Naibu Inspekta Generali wa Polisi (IGP) Abdulrahman Kaniki. Picha na Ikulu