Google PlusRSS FeedEmail

KUTANA NA STEVEN MHINA DUNGUMALO WA UHURU FM

Huyu ndiye, Steven Mhina Dungumalo, kijana mwenye umri wa miaka 40 tu, anatangaza kipindi cha Hellow Tanzania cha saa 12- saa 3 asubuhi @ siku na vipindi kama cha enzi hizo kinachohusu uchambuzi wa nyimbo zilizotamba zamanii katika anga la muziki wa Tanzania, Afrika Mashariki, Afrika yote na dunia nzima kwa jumla. Kipindi hicho hurushwa saa 10 hadi saa moja jioni. Je, unafahamu habari nyingine nzuriiiii za Mtangazaji huyu machachari?, Tafadhali kama unazijua tupia hapo chini kwenye fasi ya maoni, atakayetaja sifa zilizo bora kabisa kuliko wengine kuhusu mtangazaji huyu tuta...., nzuri.

This entry was posted in

Leave a Reply