Google PlusRSS FeedEmail

MAMA SALMA KIKWETE AZINDUA RASMI MAKTABA YA SHULE YA MSINGI MZIMUNI ILIYOKO WILAYANI KINONDON

 Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiwafuatilia kwa karibu baaqdhi ya wanafunzi wa shule ya Msingi Mzimuni waliokuwa wakitumia maktaba hiyo mara tu baaba ya kuizindua rasmi hapo tarehe 11.12.2013.
 Baadhi ya wanafunzi wa shule ya Msingi Mzimuni wakiimba nyimbo za mataifa ya Tanzania na Korea Kusini wakati wa sherehe za uzinduzi wa maktaba katika shule hiyo huko Magomeni katika wilaya ya Kinondoni tarehe 11.12.2013.
 Baadhi ya wazazi wa wanafunzi wanaosoma katika Shule ya Msingi Mzimuni nao wakishiriki katika sherehe ya uzinduzi wa maktaba ya shule hiyo
 Walimu ya Shule ya Msingi ya Mzimuni nao waliungana na wanafunzi wa shule hiyo kusherehekea uzinduzi wa maktaba ya shule uliofanywa na Mama Salma Kikwete tarehe 11.12.2013
 Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiwahutubia wanafunzi na walimu wa shule ya Msingi Mzimuni pamoja na wananchi wa eneo hili wakati wa sherehe za uzinduzi wa Maktaba ya shule hiyo tarehe 11.12.2013.
 Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akikata utepe ikiwa ni ishara ya uzinduzi rasmi wa maktaba ya Shule ya Msingi ya Mzimuni iliyoko Magomeni. Kushoto kwa Mama Salma ni Mheshimiwa Balozi Young-Shim Dho, Mwanzilishi wa Step Foundation na Balozi wa Mradi wa Utalii endelevu kwa ajili ya kuondoa umasikini wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Utalii Duniani ambaye ndiye aliyefadhili maktaba hiyo.PICHA NA JOHN LUKUWI.

This entry was posted in

Leave a Reply