Google PlusRSS FeedEmail

SEMINA YA VIONGOZI WA JUMUIA YA WAZAZI YA CCM WILAYA YA KINONDONI YAENDELEA LEO MKOANI MOROGORO

 Katibu wa CCM mkoa wa Dar es Salaam, Abilah Mihewa akizungumza katika semina ya viongozi wa Jumuia ya Wazazi ya CCM wilaya ya Kinondoni, alipoungana nao kwenye semina hiyo leo, mkoani Morogoro. Pamoja naye ni Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Kinondoni, Salum Madenge na Mwenyekiti wa Wazazi Wilaya hiyo Charles Mgonja (kushoto).
 Wajumbe wakimsikiliza Mihewa
 Wajumbe wakimsikiliza Katibu wa CCM mkoa wa Dar es Salaam, Abilah Mihewa (hayupo pichani) alipokuwa akiwahutubia kwenye semina ya viongozi wa Jumuia ya Wazazi wilaya ya Kinondoni inayoendelea mkoani Morogoro.
 Katibu Mwenezi wa CCM mkoa wa Dar es Salaam, Juma Simba aka Gadaffi, akizungumza kwenye semina hiyo.
 Mihewa (kulia) akiingia ukumbini
 Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Kinondoni, Salum Madenge akimpongeza mgeni rasmi, Katibu wa Itukadi na Uenezi mkoa wa Morogoro, baada ya kufungua semina hiyo jana
Washiriki wa Semina wakila kiapo cha kuyashika vema mafunzo, wakati wa semina hiyo. Imetayarishwa na theNkoromo Blog

This entry was posted in

Leave a Reply