MZEE MWINYI AFUNGUA MAKAO MAKUU YA BPZ MJINI ZANZIBAR
RAIS Mstaaf wa Tanzania Alhaj Ali Hassan Mwinyi,akikata Utepe kuashiria kuifunga Makao Makuu ya Benki ya PBZ Ismamic Bank ilioko katika jengo la Bima Mpirani Zanzibar, kushoto Waziri wa Fedha Zanzibar Omar Yussuf Mzee na Mkurugenzi Mtendaji PBZ Bwa Juma Amour, ikiwa ni shamrashamra za miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar.