Mkurugenzi wa Usimamizi wa Uchumi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (Ewura), Felix Ngamlagosi (kulia) akitangaza bei mpya ya umeme jana..
TAARIFA KAMILI
Tarehe 11 Oktoba 2013, Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) liliwasilisha maombi ya kurekebisha bei ya umeme kwa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA). TANESCO ilipendekeza kuongeza bei kwa asilimia 67.87 kuanzia tarehe 1 Oktoba 2013, asilimia 12.74 kuanzia tarehe 1 Januari 2014 na asilimia 9.17 kuanzia tarehe 1 Januari 2015. Vilevile TANESCO waliomba>Inaendelea>BOFYA HAPA