Google PlusRSS FeedEmail

JUMUIA YA WAZAZI YA CCM KINONDONI WAENDA KUJINOA MOROGORO

 Baadhi ya viongozi wa Jumuia ya Wazazi Kata za wilaya ya Kinondoni Dar es Salaam, wakiwa kwenye Ofisi ya CCM wilaya ya Kinondoni wakati wakisubiri kuanza safari ya kwenda Morogoro leo kwa ajili ya semina yao ya mafunzo itakayoanza kesho
 Wakisubiru usafiri ofisi ya CCM wilaya ya Kinondoni
 Wawakilishi kutoka Kata ya Kawe wakiwa ofisi ya CCM Kinondoni kabla ya safari
 Baadhi ya viongozi wa Jumuia hiyo wakiwa Oofisi ya CCM Kinondoni
 Baadhi wakitaniana kabla ya safari
 Mwenyekiti wa Jumuia aya Wazazi Kata ya Tandale, Yahya Akilimali aka Mzee wa Yanga, akifurahia jambo na Katibu wa Jumuia hiyo Kata ya Goba, Rehema Ngulume, kwenye Ofisi ya CCM wilaya ya Kinondoni kabla ya safari hiyo
 Wakiondoka kwenye ofisi ya CCM wilaya ya Kinondoni kwenda kupanda basi lililowafuata kwenye ofisi hiyo
 Wakipanda basi
Wakiwa katika basi wakati safri ikiendelea kwenda Moro

This entry was posted in

Leave a Reply