PINDA APOKEA MSAADA WA PIKIPIKI 44
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitazama pikipiki mbili kati ya 44 zilizotolewa msaada kwake na Ubalozi wa China nchini pamoja na Kampuni ya Futang ya China katika makabidhiano yaliyofanyika kijijini kwake, Kibaoni wilayani Mlele Desemba 24, 2013. Wapili kulia ni Balozi wa China nchini, Dr. Lu Youqing. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)