Google PlusRSS FeedEmail

KINANA ACHAPA KAZI LEO WANGING'OMBE, NJOMBE

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana  watatu kushoto, akiungana na Vijana wa CCM kula kiapo cha uanachama, baada ya kuwakabidhi kadi za Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) vijana 40, katika mkutano uliofanyika kwenye kiituo cha Mafunzo ya zana za kilimo kwa wakulima katika Kijiji cha Usuka, Kata ya Isuka Wilayani Wanging'ombe mkoa mpya wa Wanging'ombe leo mchana. Kushoto ni Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Mbunge mteule, Dk. Asha-Rose Migiro.
Vijana waliopatiwa kati za CCM na Katibu Mkuu wa CCM,  katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye Kituo cha Mafunzo ya zana za kilimo kwa wakulima katika Kijiji cha Usuka, Kata ya Isuka Wilayani Wanging'ombe katika mkoa mpya wa Wanging'ombe.
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimkabidhi kadi ya UVCCM, kijana Geawa Wibiki, wakati wa mkuytno wa hadhara uliofanyika kwenye Kituo cha Mafunzo ya zana za kilimo kwa wakulima katika Kijiji cha Usuka, Kata ya Isuka Wilayani Wanging'ombe katika mkoa mpya wa Wanging'ombe. Kushoto ni Dk. Asha-Rose Migiro na watatu kushoto ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Wanging'ombe, Deo Sanga.
 Vijana wakimshangilia Kinana katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye Kituo cha Mafunzo ya zana za kilimo kwa wakulima katika Kijiji cha Usuka, Kata ya Isuka Wilayani Wanging'ombe katika mkoa mpya wa Wanging'ombe.
 Kinana, Nape na Dk. Asha-Rose wakiwasalimia wananchi walipowasili kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye Kituo cha Mafunzo ya zana za kilimo kwa wakulima katika Kijiji cha Usuka, Kata ya Isuka Wilayani Wanging'ombe katika mkoa mpya wa Wanging'ombe.
Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa KImataifa, Dk. Asha-Rose Migiro akisalimiana na Mkuu wa wilaya ya Wanging'ombe Esteria  Kilasi, katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye Kituo cha Mafunzo ya zana za kilimo kwa wakulima katika Kijiji cha Usuka, Kata ya Isuka Wilayani humo katika mkoa mpya wa Wanging'ombe.
 Kinana akifurahia ngoma zilizokuwa zikitumbuizwa na kinamama wa Wanging'ombe, alipowasili katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye Kituo cha Mafunzo ya zana za kilimo kwa wakulima katika Kijiji cha Usuka, Kata ya Isuka Wilayani Wanging'ombe katika mkoa mpya wa Wanging'ombe.
 Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa KImataifa, Dk. Asha-Rose Migiro akijaribu Power Tiller, katika  Kituo cha Mafunzo ya zana za kilimo kwa wakulima katika Kijiji cha Usuka, Kata ya Isuka Wilayani Wanging'ombe katika mkoa mpya wa Wanging'ombe.
 HEEEE JAMANI, ZA SIKU NYINGI... Mtangazaji wa zamani Sarah Dumba ambaye sasa ni Mkuu wa wilaya ya Njombe, akimsalimia kwa bashasha Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Dk. Asjha-Rose Migiro alipowasili katika mkoa huo leo
Umati wa wananchi kaika kijiji cha Ramadhani, ukipokea msafara wa Kinana kuingia mkoa wa Njombe
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana na Katibu wa NEC, Itukadi na Uenezi, Nape Nnauye wakiwa mbele ya Jengo la Mradi wa CCM, mkoa wa Njombe, baada ya Kinana kuzindua jengo hilo leo. Imetayarishwa na theNkoromo Blog

This entry was posted in

Leave a Reply