Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akihutubia maelfu ya wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika leo jioni kwenye viwanja vya Ruanda Nzovwe, Mjini Mbeya leo jioni
Maelfu ya wananchi wakaiwa wamefurika kwenye viwanja vya Ruanda Nzove kwenye mkutano huo
SOTE NI CCM: Wananchi wakimpungia mikono Katibu wa NEC, Itikasi na Uenezi Nape Nnauye akilipiwahutubia maelfu ya wananchi katika mkutano huo
Nape akisisitiza jambo kwenye mkutano huo
'Tanzania, Tanzaniaaaa Nakupenda kwa moyo woteee...." Nape akiimba pamoja na wananchi wimbo huo wa kuamsha ari ya uzalendo katika baada ya kuwahutubia maelfu ya watu kwenye mkutano huo.
Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Mbunge Mteule Dk. Asha-Rose Migiro akihutubia maelfu ya wananchi kwenye mkutano huo
Bryson Mwasimba aliyekuwa Katibu wa CCM wilaya ya Chunya mkoani Mbeya, akitoa ya moyoni alipopewa fursa ya kusalimia wanancjhi kwenye mkutano huo
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana na viongozi wenzake wakiwa kwenye meza kuu wakati wa mkutano huo. Meza kuu hiyo ilikuwa tofauti kabisa na zile zlizozoeleka ambazo huwa na mapambo mengi huku zikiwa na sehemu ya kukinga jua. Utaratibu wa majukwa na meza kuu vya aina hii ndiyo mtindo wa sasa katika mikutano ya CCM. Kutoka kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Mbeya Dk. Norman Sigala, Kattibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mbeya
Katibu Mkuu wa CCM, na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye wakiwapungua mikono wananchi walipokuwa wakipita barabarani wakienda kwenye mkutano huo
SISI NI VIJANA WA CCM: Vijana waliokuwa kwenye mkutano huo wakipiga picha kwa simu zao ili kupata kumbukumbu.
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akionyesha alama ya dole dumba ya CCM, kuonyesha kuwa mambo safdiiii, alipokuwa akienda kwenye mkutano huo kwa kutumia bajaj
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akionyesha alama ya dole dumba ya CCM, kuonyesha kuwa mambo safdiiii, alipokuwa akienda kwenye mkutano huo kwa kutumia bajaj
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akionyesha alama ya dole dumba ya CCM, kuonyesha kuwa mambo safdiiii, alipokuwa akienda kwenye mkutano huo kwa kutumia bajaj
Shamrashamra zikiendelea kurindima uwanjani baada ya Kinana kuhutubia.Imetayarishwa na CCM Blog