Google PlusRSS FeedEmail

KINANA AKABIDHI KADI UVCCM 120 NJOMBE, AZINDUA ALBAM YA VICHEKO

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdultahman Kinana akimkabidhi kadi ya UVCCM Lonic Mwaijande, alipotoa kadi kwa wanachama wapya 120 wa UVCCM kutoka Vyuo vya Elimu ya Juu, leo mwishoni mwa ziara yake mkoani Njombe. Kushoto ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Njombe Deo Sanga
 Baadhi ya vijana wasomi wa Elimu ya Juu waliojiunga ya Umoja wa Vijana wa CCM, waliopokea kadi kwa niaba ya wenzao wakila kiapo,
 Katibu Mkuu wa CCM Absulrahman Kinana akionyesha CD za Kundi la Vicheko la UVCCM Njombe, baada ya kuzindua albam ya kundi hilo
 Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akisikiliza ushauri wa Mkuu wa wilaya ya Njombe, Sarah Dumba, wakati wa hafla hiyo ya kukabishi kadi wa wanachama wapya wa UVCCM mjini Njombe. Katikati ni Deo Sanga.
 Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Dk. Asha-Rose Migiro na Mkuu wa wilaya ya Njombe, Sarah Dumba wakitazama CD za kikundi cha Vicheko cha UVCCM Njombe baada ya Kinana kuzindua CD hizo
 Vijana wa Kundi la Vicheko wakionyesha umahiri wao mbele ya Kinana wakati wa uzinduzi wa albamu yao
 Dk. Asha-Rose akizungumza wakati wa uzinduzi wa albam hiyo
 Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza wakati wa uzinduzi wa CD hiyo na kugawa kadi kwa wanachama wapya wa UVCCM
Kinana akisisitiza wakati wa hafla hiyo

This entry was posted in

Leave a Reply