MAJINA YA WAKUU WA WILAYA WAPYA 70 NA
VITUO VYAO VYA KAZI, KAMA YALIVYOTOLEWA NA OFISI YA WAZIRI MKUU, MEI 9, 2012
NA. | JINA | KITUO CHA KAZI |
1. | Novatus Makunga | Hai |
2. | Mboni M. Mgaza | Mkinga |
3. | Hanifa M. Selungu | Sikonge |
4. | Christine S. Mndeme | Hanang |
5. | Shaibu I. Ndemanga | Mwanga |
6. | Chrispin T. Meela | Rungwe |
7. | Dr. Nasoro Ali Hamidi | Lindi |
8. | Farida S. Mgomi | Masasi |
9. | Jeremba D. Munasa | Arumeru |
10. | Majid Hemed Mwanga | Lushoto |
11 | Mrisho Gambo | Korogwe |
12. | Elias C. J. Tarimo | Kilosa |
13. | Alfred E. Msovella | Kiteto |
14. | Dkt. Leticia M. Warioba | Iringa |
15. | Dkt. Michael Yunia Kadeghe | Mbozi |
16. | Mrs. Karen Yunus | Sengerema |
17. | Hassan E. Masala | Kilombero |
18. | Bituni A. Msangi | Nzega |
19. | Ephraem Mfingi Mmbaga | Liwale |
20. | Antony J. Mtaka | Mvomero |
21. | Herman Clement Kapufi | Same |
22. | Magareth Esther Malenga | Kyela |
23. | Chande Bakari Nalicho | Tunduru |
24. | Fatuma H. Toufiq | Manyoni |
25. | Seleman Liwowa | Kilindi |
26. | Josephine R. Matiro | Makete |
27. | Gerald J. Guninita | Kilolo |
28. | Senyi S. Ngaga | Mbinga |
29. | Mary Tesha | Ukerewe |
30. | Rodrick Mpogolo | Chato |
31. | Christopher Magala | Newala |
32. | Paza T. Mwamlima | Mpanda |
33. | Richard Mbeho | Biharamulo |
34. | Jacqueline Liana | Magu |
35. | Joshua Mirumbe | Bunda |
36. | Constantine J. Kanyasu | Ngara |
37. | Yahya E. Nawanda | Iramba |
38. | Ulega H. Abadallah | Kilwa |
39. | Paul Mzindakaya | Busega (mpya) |
40. | Festo Kiswaga | Nanyumbu |
41. | Wilman Kapenjama Ndile | Mtwara |
42. | Joseph Joseph Mkirikiti | Songea |
43. | Ponsiano Nyami | Tandahimba |
44. | Elibariki Immanuel Kingu | Kisarawe |
45. | Suleiman O. Kumchaya | Tabora |
46. | Dkt. Charles O. F. Mlingwa | Siha |
47. | Manju Msambya | Ikungi (mpya) |
48. | Omar S. Kwaangw’ | Kondoa |
49. | Venance M. Mwamoto | Kibondo |
50. | Benson Mpesya | Kahama |
51. | Daudi Felix Ntibenda | Karatu |
52. | Ramadhani A. Maneno | Kigoma |
53. | Sauda S. Mtondoo | Rufiji |
54. | Gulamhusein Kifu | Mbarali |
55. | Esterina Kilasi | Wanging’ombe (mpya) |
56. | Subira Mgalu | Muheza |
57. | Martha Umbula | Kongwa |
58. | Rosemary Kirigini | Meatu |
59. | Agness Hokororo | Ruangwa |
60. | Regina Chonjo | Nachingwea |
61. | Ahmed R. Kipozi | Bagamoyo |
62. | Wilson Elisha Nkhambaku | Kishapu |
63. | Amani K. Mwenegoha | Bukombe |
64. | Hafsa M. Mtasiwa | Pangani |
65. | Rosemary Staki Senyamule | Ileje |
66. | Selemani Mzee Selemani | Kwimba |
67. | Lt. Col. Ngemela E. Lubinga | Mlele (mpya) |
68. | Iddi Kimanta | Nkasi |
69. | Muhingo Rweyemamu | Handeni |
70. | Lucy Mayenga | Uyui |
Evance Balama yuko wapi? The best District Commissioner of all the time. I will really miss him!
So far So good.
kafanyeni ni kazi waungwana msimuangushe mkubwaa
Tawi maaalum la chuo kikuu sokoine(SUA,inampongeza mh raisi kwa uteuzi wa wakuu wa wilayw,mungu ibariki Tanzania,mungu ibariki CCM-zikatimu,hamis(katibu)
mh rais amekata kiu za watanzania,kwa kuteua viongozi makini
Tawi maalum la chuo kikuu sokoine(SUA),linatarajia kufanya kongamano kuubwa la wana CCM kutoka vyuo vikuu hapa morogoro mnamo tarehe 26/5/2012,viongozi mbalimbali wanatarajiwa kualikwa katika kongamano hilo,ndg mwana ccm popote ulipo unaombwa kushiriki nasi katika kongamano hilo katika mkakati wa kuimarisha chama vyuo vikuu hapa morogoro.BAADHI YA AGENDA NI KAMA IFUATAVYO,mikakati ya kuimarisha shirikisho la vyuo vikuu mkoani morogoro,kutambulisha wanachama wapya,umuhimu wa msomi kutetea chama chetu mahali tulipo,umuhimu wa msomi kueneza sera za chama chetu popote uendapo,changamoto zinazotukabili vyuoni,umuhimu wa kuwa mwanaCCM ktk jamii nk.yeyote anayeguswa kushiriki nasi katika harakati hizi wasiliana na katibu wa tawi zikatimu,hamis kwa namba 0712283290.KAULIMBIU:ONGEZA WANACHAMA WA CCM,PUNGUZA WANACHAMA WA CHADEMA VYUO VIKUU.
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
KILA KUKICHA USISAHAU USEMI UFUATAO:"CCM madhubuti inaanza na mimi,naimarisha chama changu kwa kuchagua viongozi bora na waadirifu"
Tawi maalum la chuo kikuu sokoine(SUA),linatarajia...Saturday, May 12, 2012 11:11 PMTawi maalum la chuo kikuu sokoine(SUA),linatarajia kufanya kongamano kuubwa la wana CCM kutoka vyuo vikuu hapa morogoro mnamo tarehe 26/5/2012,viongozi mbalimbali wanatarajiwa kualikwa katika kongamano hilo,ndg mwana ccm popote ulipo unaombwa kushiriki nasi katika kongamano hilo katika mkakati wa kuimarisha chama vyuo vikuu hapa morogoro.BAADHI YA AGENDA NI KAMA IFUATAVYO,mikakati ya kuimarisha shirikisho la vyuo vikuu mkoani morogoro,kutambulisha wanachama wapya,umuhimu wa msomi kutetea chama chetu mahali tulipo,umuhimu wa msomi kueneza sera za chama chetu popote uendapo,changamoto zinazotukabili vyuoni,umuhimu wa kuwa mwanaCCM ktk jamii nk.yeyote anayeguswa kushiriki nasi katika harakati hizi wasiliana na katibu wa tawi zikatimu,hamis kwa namba 0712283290.KAULIMBIU:ONGEZA WANACHAMA WA CCM,PUNGUZA WANACHAMA WA CHADEMA VYUO VIKUU.
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
KILA KUKICHA USISAHAU USEMI UFUATAO:"CCM madhubuti inaanza na mimi,naimarisha chama changu kwa kuchagua viongozi bora na waadirifu"