Mwenyekiti wa Victoria Foundation, Vicky Kamata (kushoto) na Mkurugenzi Mtendaji wa Sustaining Impact ya Georgia Marekani, Danielle Callaway jana wakisaini mkataba wa Mradi wa Blackboard Tanzania, katika hafla iliyofanyika katika hoteli ya Southern Sun jijini Dar es Salaam.
Zizfuatazo ni picha za tukio hilo.
Vicky akaisaini mkataba huoBi Danielle akisaini mkataba huo
George Obado toka Kenya ambaye ni consultant wa Sustaining Impact na Elisha Ngondo ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa Victoria Foundation nao wakitia saini zao mkataba huo
George Obado akimkabidhi Vicky mkataba.
Vicky na Danielle wakipongezana baada ya kusaini mkataba huo
Kisha wakakaa wote katika picha ya pamoja
Hongera sana!