Google PlusRSS FeedEmail

RAIS KIKWETE AWAAPISHA LEO MAWAZIRI WAKE


Rais Jakaya Kikwete, Makamu wake Dkt. Mohammed Gharib Bilal na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Katibu Mkuu Kiongozi, wakiwa katika picha ya pamoja na Mawaziri wateule baada ya kuapishwa rasmi leo Ikulu Dar es Salaam. 

This entry was posted in

2 Responses so far.

  1. Hamadi says:

    NAOMBA KUCHUKUA FURSA HII KUTOA PONGEZI ZA DHATI KWA CHAMA CHETU KWA KUANZISHA BLOGSPOT HII. CCM TUNA KILA HAKI YA KUJIVUNIA MAFANIKIO YETU : (1) UMOJA WA KITAIFA BILA UBAGUZI WA KIKABILA, RANGI AU DINI; (2) KUIFANYA TANZANIA KUWA KISIWA CHA AMANI KATIKA BAHARI YA TUFANI NA MISUKOSUKO (NAJUA NINACHOKIONGEA: 2003 NILIKUWA BUTARE RWANDA NA FEBRUARI 2008 NA 2009 NILIKUWA KENYA). TUENDELEE KUKIIMARISHA CHAMA CHETU NA OMBI LANGU KUBWA NI TUUPE KIPAUMBELE UVCCM ILI VIJANA WETU WASIENDELEE KUDANGANYWA NA VYAMA VYA UPINZANI.

  2. CCM Blog says:

    Asante kwa maoni yako!

    Mtayarishaji

Leave a Reply