ZIARA YA MUKAMA MKOA WA PWANI
Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama akisalimiana na wananchi alipowasili katika Kijiji cha Mkamba, wilaya ya Mkuranga, kabla ya kuhutubia mkutano wa hadhara. Kulia ni Katibu wa CCM wa Mkoa wa Pwani, Sauda Mpambalyoto.
MUKAMA, akisalimiana na viongozi wa CCM alipowasili Utete, wilaya ya Rufiji. Wa pili kushoto ni Katibu wa CCM wa wilaya hiyo, Mwanamasudi Pazi.
VIONGOZI na wanachama wa CCM, wakimsikiliza Katibu Mkuu wa CCM, Mukama, alipowahutubia Kibiti wilayani Rufiji.
Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama akiwahutubia wana-CCM katika mkutano wa ndani wakati wa ziara hiyo.
msingi na mtaji uliobaki ni vjana! tufikirie namna ya kuwarudisha