Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe baada ya kushuka kwenye gari la bei mbaya
Mwananchi mwenzangu naomba msaada tutani!Viongozi wa CHADEMA waliwahi kutoa madai kwamba viongozi wa serikali iliyopo madarakani wanatumia magari ya bei mbaya sana, na ni gharama kubwa kuyahudumia, kwa maana ya vipuri, service na mafuta.
Sasa swali ninalouliza ambalo naomba Watanzania wenzangu na wadau wengine popote duniani mnisaidie kupata jibu.Je.,mbona sasa na wao (Chadema) wanatumia magari kama hayo hayo wanayodai ni gharama kubwa???
Mnaweza kumjibu kwa kutoa Maoni kupitia ukurasa huu, au moja kwa moja kwenda kwake kwa mawasiliano haya hapa:-
PO BOX 33699,
HARBOUR VIEW TOWERS,
SAMORA AVENUE,
DAE ES SALAAM,
TANZANIA.
TEL + 255 22 2129550/1
FAX + 255 22 2129552
CELL + 255 784 721003
CELL + 255 752 721003
kujidai kukataa magari ya bei ni janja tu ya aina ya siasa wanayoitumia (ujanjaujanja)"mapopulist" wanashadadia hoja nyepepesinyepesi ili mradi ziwapatie umaarufu. Sio ajabu hawa siku moja wakajadai IKULU wawe wanakula chukuchuku. WANAFIKI