GF TRUCKS & EQUIPMENT YAZITAKA HALMASHAURI KUCHANGAMKIA OFA KWA MIRADI
OFISA Masoko wa Kampuni ya GF TRUCKS & Equipments’, Fredrick Malima akiwaelezea Uwezo wa Ubora wa gari aina ya FAW TIPER washiriki wa Mkutano wa Jumuiya ua Tawala za serikali za Mitaa (ALAT) unaoendelea katika Hoteli ya Kunduchi Beachi, Dar es Salaam. GF TRUCKS & Equipments’ ni Miongoni mwa wadhamini wa mkutano huo (PICHA NA MDAU)