Google PlusRSS FeedEmail

VICKY KAMATA ATOA MSAADA KWA WALEMAVU, GEITA

 Mwenyekiti wa Victoria Foundation,ambaye pia ni mbunge wa Viti Maalum Vicky Kamata ametoa msaada wa baiskeli kwa walemavu 30 katika wilaya za Nyakamwaga na Bukoli zilizopo mkoani Geita, zifuatazo ni picha za tukio hilo kama alivyotutumia leo

 Vicky akizungumza na mmoja wa walemavu waliopata msaada huo
 Watu wakishuhudia utoaji msaada huo
Baadhi ya baskeli alizotoa

This entry was posted in

Leave a Reply